

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Viongozimbalimbali wa Mkoa wa Bukoba mara alipowasili katika kiwanja cha Ndege cha Bukoba leo mchana,ambapo atashiriki katika Maadhimisho ya Siku ya Mashujaa,ambapo Kitaifa yatakuwa kesho katika Mkoa huo.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Viongozi mbalimbali wa Chama chaMapinduzi CCM Mkoa wa Bokoba mara alipowasili katika kiwanja cha Ndege cha Bukoba leo mchana,ambapo atashiriki katika Maadhimisho ya Siku ya Mashujaa,ambapo Kitaifa yatakuwa kesho katika Mkoa huo.
[Picha naRamadhan Othman,Mkoani Bukoba.]
0 comments:
Chapisha Maoni
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.