Searching...
Jumamosi, 29 Juni 2013

UTABIRI WA HALI YA HEWA JUMAMOSI JUNE 29,2013



WIZARA YA UCHUKUZI
                               MAMLAKA  YA HALI YA HEWA.
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
TELEFAX-2460772.

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA12 ZIJAZO KUANZIA ASUBUHI YA LEO.
                        TAREHE 29/06/2013.


[Mikoa ya Tanga, Dar es Salaam, na  Pwani]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:

Hali ya mawingu kiasi, mvua nyepesi katika maeneo machache  na vipindi vya jua.

[Mikoa ya Dodoma, Kigoma,  Tabora na Singida]:
[Mikoa ya Kagera, Mara, Mwanza na Shinyanga]:
[Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara]:
[Mikoa ya Iringa, Mbeya, Rukwa na Ruvuma]:
[Mikoa ya Lindi, Morogoro na Mtwara] :

Hali ya mawingu kiasi na vipindi vya jua.


VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:


MJI
Kiwango cha juu cha joto
Machweo (Saa)
ARUSHA
24°C               
12:32
D'SALAAM
30°C           
12:14
DODOMA
25°C
12:29
KIGOMA           
30°C
12:55
MBEYA
24°C
12:34
MWANZA
30°C
12:49
TABORA
30°C
12:43
TANGA
28°C
12:18
ZANZIBAR
28°C           
12:14
PEMBA
28°C           
12:18
MOROGORO
29°C           
12:21

Upepo wa Pwani:Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 30 kwa saa; kutoka Kusini kwa Pwani ya Kaskazini                                na kutoka Kusini-Mashariki kwa Pwani ya Kusini.

  Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi Makubwa Kiasi.

Matazamio kwa usiku wa leo Jumamosi: 29/06/2013: Mabadiliko kidogo.

Utabiri huu umetolewa leo tarehe: 29/06/2013.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!