ASHLEY WILLIAMS.
Klabu ya Swansea City imegoma kupokea dau dogo lililotolewa na klabu ya Arsenal la paundi milioni 10 kwaajili ya nahodha wao Ashley Williams ambapo wangemchukua Thomas Vermaelen kama sehemu ya kufanikisha dili hilo.
Kocha wa Arsenal Arsene Wenger, amemuweka kwenye chaguo lake la kwanza beki huyo mwenye umri wa miaka 29 ili kuimarisha safu yake ya ulinzi
0 comments:
Chapisha Maoni