Searching...
Jumamosi, 29 Juni 2013

UFUNGUZI WA MKUTANO WA SMART PARTNERSHIP DIALOGUE 2013 JIJINI DAR ES SALAAM WAFANA

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na viongozi mbalimbali pamoja na vijana wa umri wa CPTM 29ers waliohudhuria mkutano wa Smart Partneship Dialogue 2013 wakati wa ufunguzi rasmi wa mkuatno huo unaoshirikisha watu zaidi ya 800 katika Ukumbi wa Mwalimu Nyerere Convention Centre jijini Dar es salaam Ijumaa Juni 28, 2013

Mjadala wa vijana na viongozi  ukiendelea.
Rais wa Sri Lanka akishiriki mjadala na vijana wa CPTM 29ers
Rais Omar Bongo katika mjadala huo

Vijana wakichangia mjadala

Rais Mstaafu Mhe Benjamin Mkapa na Rais Mstaafu wa Msumbiji Joachim Chissano no walikuwepo katika mjadala

Kijana akichangia katika mjadala huku rais Kikwete akimsikiliza kwa makini

Rais Kikwete akipiga ngoma kuashiria mwisho wa mjadala wa viongozi na vijana
Rais Kikwete akipiga ngoma kuashiria mwisho wa mjadala wa viongozi na vijana
Rais Kikwete akisalimiana na vijana hao
Wanahabari wa ndani na nje ya nchi wakirekodi tukio hilo la kihistoria
Ujumbe wa Swaziland
Ujumbe wa Tanzania
Meza kuu
Vijana wa THT wakitumbuiza

THT wakitumbuiza
Wanafunzi wakiimba kwa furaha

Meza kuu wakishangilia
Sehemu ya wageni

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!