Searching...
Jumamosi, 29 Juni 2013

SUMATRA WAKABIDHI PIKIPIKI 5 KWA JESHI LA POLISI KIKOSI CHA USALAMA BARABARANI MJINI MOROGORO



Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani DCP Mohammed Mpinga akipokea funguo kutoka kwa Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi Mhe. Pereira Silima baada ya Pikipiki hizo kukabidhiwa na SUMATRA Mjini Morogoro junni 2013.
Wajumbe wakisikiliza utekelezaji wa Maazimio kutoka kwa Insp. Sokoni wakati wa Mkutano wa watendaji wa SUMATRA na Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama Barabarani Mjini Morogoro katika Hotel ya Glonency 88 .
Kaimu Mkurugenzi wa SUMATRA Ahmed Kilima akimkabidhi Pikipiki 5 Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Pereira Silima ambaye alikuwa Mgeni Rasmi wakati wa ufungaji wa Mkutano wa watendaji wa Jeshi la Polisi na SUMATRA mjini Morogoro.
NA DEMASHO BLOG

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!