RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Prof. Peter Msolla (MB) kuwa Mshauri Mkuu wa Makamu wa Rais.
Taarifa iliyotolewa Mei 3, 2013 mjini Dar es Salaam na Katibu Mkuu Kiongozi (KMK) Balozi Ombeni Y. Sefue, inasema kuwa uteuzi huo ulianza Mei 2, mwaka huu, 2013.
Wakati huo huo,
Taarifa iliyotolewa Mei 3, 2013 mjini Dar es Salaam na Katibu Mkuu Kiongozi (KMK) Balozi Ombeni Y. Sefue, inasema kuwa uteuzi huo ulianza Mei 2, mwaka huu, 2013.
Wakati huo huo,
Rais Kikwete pia amemteua Justine Peter Mwandu kuwa
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Bima la Taifa (NIC). Taarifa iliyotolewa
leo, Ijumaa, 03 Mei, 2013 mjini Dar es Salaam na Katibu Mkuu Kiongozi
(KMK) Balozi Ombeni Y. Sefue, inasema kuwa uteuzi huo ulianza Aprili 28,
mwaka huu, 2013.
Kabla ya uteuzi huu, Ndugu Justine Peter Mwandu alikuwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu katika Shirika hilo.
Kabla ya uteuzi huu, Ndugu Justine Peter Mwandu alikuwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu katika Shirika hilo.
0 comments:
Chapisha Maoni