WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA YA HALI YA HEWA.
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
TELEFAX-2460772.
ITV – INDEPENDENT TELEVISION
/RADIO ONE
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA12
ZIJAZO KUANZIA ASUBUHI YA LEO.
TAREHE 05/05/2013.
|
[Mikoa ya Kagera, Mara,
Mwanza na Shinyanga]:
[Mkoa wa Kigoma ]:
|
|
Hali ya mawingu kiasi, mvua
na ngurumo katika maeneo machache na
vipindi vya jua
|
|
[Mikoa ya Dar Es Salaam,
Pwani na Tanga]:
[Visiwa vya Unguja na
Pemba]:
|
|
Hali ya mawingu , mvua katika
baadhi ya
maeneo na vipindi
vifupi vya jua.
|
|
[Mikoa ya Kilimanjaro,
Arusha na Manyara]:
[Mikoa ya Morogoro, Mtwara
, Lindi na Iringa]:
|
|
Hali ya mawingu kiasi ,
mvua katika
maeneo machache na vipindi
vya jua.
|
|
[Mikoa ya Rukwa, Mbeya na Ruvuma]
:
[Mikoa ya Dodoma, Singida
na Tabora]:
|
|
Hali ya mawingu kiasi na
vipindi vya jua.
|
TAHADHARI:
MVUA KUBWA ZINATARAJIWA KUENDELEA KATIKA MKOA WA TANGA, VISIWA VYA PEMBA NA
UNGUJA. TAFADHALI CHUKUA TAHADHARI.
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI
YA MIJI HAPA NCHINI:
|
MJI
|
Kiwango cha juu cha
joto
|
Machweo (Saa)
|
|
ARUSHA
|
23°C
|
12:30
|
|
D'SALAAM
|
30°C
|
12:15
|
|
DODOMA
|
29°C
|
12:30
|
|
KIGOMA
|
27°C
|
12:55
|
|
MBEYA
|
23°C
|
12:36
|
|
MWANZA
|
29°C
|
12:45
|
|
TABORA
|
29°C
|
12:43
|
TANGA |
28°C
|
12:18
|
|
ZANZIBAR
|
29°C
|
12:15
|
|
PEMBA
|
26°C
|
12:18
|
|
MOROGORO
|
29°C
|
12:22
|
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 30 kwa saa; kutoka Kusini katika Pwani ya Kaskazini
na kutoka Kusini-Mashariki kwa Pwani ya Kusini
Hali ya bahari:
Inatarajiwa kuwa na mawimbi makubwa
kiasi
Matazamio kwa usiku wa leo Jumapili:
05/05/2013: Mabadiliko kidogo.
Utabiri huu umetolewa leo
tarehe 05/05/2013.
Na: MAMLAKA
YA HALI YA HEWA TANZANIA.
0 comments:
Chapisha Maoni