Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akimkabidhi zawadi ya picha Askofu Msaidizi wa
Jimbo Kuu la Dar es salaam, Mhashamu Titus Mdoe katika ibada ya
kumsimika askofu huyo iliyofanyika kwenye viwanja vya Msimabazi Centre
jijini Dar es salaam, Mei 1, 2013 . kulia ni Mke wa Waziri Mkuu, Mama
Tunu Pinda. (picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) |
0 comments:
Chapisha Maoni