Mwanasheria Mkuu wa Shirika la Taifa Taifa la Hifadhi ya
Jamii (NSSF), Chadrick Komba akifafanua jambo wakati wa warsha iliyoandaliwa na
shirika hilo kwa ajili ya mahakimu na wanasheria kutoka Manispaa ya Temeke
jijini Dar es Salaam.
Hakimu
wa Mkuu Mkazi Mahakama ya Wilaya ya Temeke, Aziza Kalli akichangia mada
katika semina ya iliyoandaliwa na Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii
(NSSF), kwa ajili ya Mahakimu, Wanasheria na kufanyika jijini Dar es
Salaam.
Baashi ya washiriki wa warsha hiyo wakifuatilia mada.
Mwanasheria Mkuu wa Shirika la Taifa Taifa la Hifadhi ya
Jamii (NSSF), Chadrick Komba akifafanua jambo wakati wa warsha iliyoandaliwa na
shirika hilo kwa ajili ya mahakimu na wanasheria kutoka Manispaa ya Temeke
jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Meneja Matelekezo wa NSSF, Shabani Mpendu
na Meneja Mafao wa NSSF, James Oigo. (Picha na Francis Dande)
Meneja Mafao wa NSSF, James Oigo akitoa mada wakati wa warsha iliyowakutanisha wadau wa sheria.
Washiriki.
Meneja Kiongozi wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Sosthenes Nguma (kulia) akifuatilia mada katika warsha hiyo.
0 comments:
Chapisha Maoni