Maandamano ya Wafanyakazi yakiongozwa na bendi wakati wakipita
mbele ya mgeni Rasmi,Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Ally N. Rufunga jana katika
uwanja wa Jamhuri Wilayani Kahama sherehe hizo zilipofanyika kimkoa.
Burudani za ngoma za
asili za kisukuma na nyimbo za taarabu kutoka kwa walimu zilifanikisha vilivyo.
Mwenyekiti
wa TUICO Mkoa wa Shinyanga Bw.Fue Mrindoko akimkaribisha Mhe.Ali N.
Rufunga kuzungumza na wafanyakazi waliofurika katika kiwanja cha Jamhuri
mjini Kahama.
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Ally Rufunga jana katika
uwanja wa Jamhuri Wilayani Kahama sherehe siku ya wafanyakazi duniani mei mosi.
Picha na Magdalena Nkulu, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Shinyanga.

0 comments:
Chapisha Maoni