MAJAMBAZI WAUA NA KUTOROKA NA SHILINGI MILIONI KUMI.
Home
»
Unlabelled
» MAJAMBAZI WAUA NA KUTOROKA NA SHILINGI MILIONI KUMI.
Majambazi
yapora mama mmoja kiasi cha shilingi milioni kumi muda mchache uliopita
na kutokomea kusikojulikana. Tukio hilo limetokea leo saa 5:16
inavyosemekana mdada huyo alikua akitoka benki ya CRDB tawi la Uhuru
ambapo majambazi yakiwa na pikipiki yalikua yakimfuatilia, alipotoka tu
wakaligonga gari lake makusudi ndipo dada huyo aliposimama ili angaalie
nani kagonga gari yake ambapo jambazi mmoja alishuka na kumpiga risasi
ya kifuani na kutokomea na kiasi hicho cha pesa.
0 comments:
Chapisha Maoni