Searching...
Jumatano, 1 Mei 2013

HALMASHAURI YA WILAYA URAMBO MKOANI TABORA IMENUNUA VIFAA VYA MAABARA KWA SHULE 23 ZA KATA.

WAALIMU WAKISHUHUDIA ZOEZI LA KUKABIDHIWA VIFAA VYA KISASA VYA MAABARA KWAAJILI YA SHULE 23 ZA KATA WILAYANI URAMBO MKOANI TABORA.
VIFAA VYA KISASA VYA MAABARA KWAAJILI YA KUJIFUNZIA AMBAVYO VIMENUNULIWA NA HALMASHAURI YA WILAYA YA URAMBO VIKIKABIDHIWA RASMI
ELIMU KWANZA
HAPA NI MAKABIDHIANO YA VIFAA VYA SHULE 23 ZA KATA WILAYANI URAMBO
WAFANYAKAZI MBALIMBALI MKOANI TABORA WAKIINGIA UWANJA WA ALLY HASSAN MWINYI TABORA KUSHEREHEKEA SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI.
WAFANYAKAZI WA MKOA WA TABORA WAKIIMBA WIMBO WA UMOJA MILELE KATIKA MAADHIMISHO YA SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI YALIYOFANYIKA KATIKA UWANJA WA ALLY HASSAN MWINYI TABORA
 WAFANYAKAZI MBALIMBALI WALIOHUDHURIA SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI AMBAPO MAADHIMISHO HAYO MKOANI TABORA YALIFANYIKIA MJINI TABORA.
MKUU WA WILAYA YA URAMBO BI.ANNA MAGOWA AKITOA NASAHA KUHUSU UTUNZAJI WA VIFAA VYA SHULE ZA KATA WALIVYOVINUNUA KWAAJILI YA WANAFUNZI KUJIFUNZIA.
PICHA NA HABARI KWA HISANI YA SIMON KABENDERA TABORA

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!