Searching...
Jumatano, 1 Mei 2013

MEI MOSI ULAYA YASHEREHEKEWA KWA GHASIA NA MAANDAMANO.




 Waandamanaji nchini Uhispania wameandamana kupinga ukosefu wa ajira
WAANDAMANAJI NCHINI HISPANIA WAKIDAI HALI MBAYA YA MAISHA YANAYOTOKANA NA UKOSEFU WA AJIRA.
 Umati wa wafanyakazi wakiambatana kupinga sera za kubana matumizi Ugiriki
HUO NI MGOMO NA MAANDAMANO NCHINI UGIRIKI WAKIPINGA SERA YA KUKAZA MKWIJI KATIKA MAADHIMISHO YA SIKUKUU YA WAFANYAKAZI DUNIANI HII LEO.

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!