Searching...
Jumatano, 1 Mei 2013

BAYERN MUNICH YAIDHALILISHA BARCELONA 7-0

BARCELONA WAMEKUBALI KIPIGO CHA AIBU NA KISICHOTARAJIWA CHA MABAO MATATU KWA BILA KATIKA MECHI YA PILI YA NUSU FAINALI KLABU BINGWA ULAYA KUTOKA KWA BAYERN MUNICH NA KUTOLEWA KWA MASHINDANONI KWA JUMLA YA MABAO SABA KWA SUFURI....IKUMBUKWE TU KWAMBA MCHEZAJI BORAWA DUNIA LIONEL MESSI HAKUCHEZA MCHEZO HUO.
 Lionel Messi on the bench for Barclona
LIONEL MESSI AKISHUHUDIA KIPIGO CHA AIBU

Barcelona defender Gerard Pique
Franck RiberyFURAHA YA USHINDI


Bayern Munich celebrate their victory VIJANA WA PEPP GUADIOLA MSIMU UJAO WAKISHANGILIA USHINDI WA JUMLA WA MAGOLI  7-0 WAKISUBIRI KUTINGA WIMBLEY KUKIPIGA NA WAJERUMANI WENZAO BORRUSIA DOTMUND MAY 25

0 comments:

Chapisha Maoni

:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

 
Back to top!