Mama
ambaye jina lake halikupatikana mara moja akipita kwenye maji
yaliyopoteza mwelekeo baada ya mto kufurika maji kutokana na mvua
zinazoendelea kunyesha wilayani Makete eneo la joshoni
Afadhali kidogo ya mama huyu kavaa rain boot huku mkongojo ukimsaidia kukatisha kwenye maji kuelekea kwenye daraja.
Mto huo ukiwa umefurika maji kupita kiasi.
Huu
ni msitu wa chuo cha VETA Makete ambao umewekwa kibao cha onyo, lakini
kina mama hao huenda msituni humo kuokota kuni na kupita hapa licha ya
onyo hilo
Miti
katika msitu wa VETA Makete ukiwa umepuruniwa hali inayoshawishi kina
mama hao kwenda kuokota kuni.
Picha zote na Edwin Moshi.
0 comments:
Chapisha Maoni