Searching...
Jumatatu, 29 Aprili 2013

UTABIRI WA HALI YA HEWA APRIL 29-JUMATATU.



           WIZARA YA UCHUKUZI
                               MAMLAKA  YA HALI YA HEWA.
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
TELEFAX-2460772.
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA12 ZIJAZO KUANZIA ASUBUHI YA LEO.
TAREHE 29/04/2013.

[Mikoa ya Kagera, Mara, Mwanza  na  Shinyanga]:
[Mkoa wa Kigoma ]:

Hali ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika  maeneo machache na vipindi  vya jua
[Mikoa ya Dar Es Salaam, Pwani na Tanga]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:
[Mikoa ya Kilimanjaro, Arusha na Manyara]:
[Mkoa wa Morogoro]: 
Hali ya mawingu kiasi, mvua katika
maeneo machache  na vipindi  vya  jua.
[Mikoa ya Lindi  na Mtwara]:
Hali ya mawingu kiasi, mvua nyepesi katika
maeneo machache  na vipindi  vya  jua.
[Mikoa ya Tabora  na Ruvuma]:
[Mikoa ya Dodoma na Singida ]:
[Mikoa ya Rukwa, Iringa na Mbeya]:

Hali ya mawingu kiasi na vipindi  vya  jua.



VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:
MJI
Kiwango cha juu cha joto
Machweo (Saa)
ARUSHA
                22°C                
12:33
D'SALAAM
           33°C           
12:19
DODOMA
29°C
12:34
KIGOMA           
28°C
12:59
MBEYA
22°C
12:40
MWANZA
27°C
12:49
TABORA
29°C
12:47
TANGA
31°C
12:22
ZANZIBAR
          31°C           
12:19
PEMBA
           30°C           
12:22
MOROGORO
           29°C           
12:26

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma  kutoka  Kusini mashariki kwa kasi ya km 30 kwa saa katika Pwani yote 
 
Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi makubwa kiasi.

Matazamio kwa usiku wa leo Jumatatu: 29/04/2013: Mabadiliko kidogo.

Utabiri huu umetolewa leo tarehe 29/04/2013. 

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!