Searching...
Jumatatu, 29 Aprili 2013

OFISI YA WAZIRI MKUU YAPOKEA TUZO

DSC01314 
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipokea Tuzo ya Utoaji huduma bora ya   Afya na Usalama kazini kwa niaba ya  Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa kutoka kwa Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudensia Kabaka katika Kilele cha Maadhimisho ya siku ya Afya na Usalama Duaniani kwenye uwanja wa Shikh Amri Abeid , Arusha Aprili 28, 20113. DSC01206 
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitazama onyesho la uokoaji kutoka mwokoaji wa mgodi  wa North Mara Gold Mine katika maonyesho ya kuadhimisha Siku ya Afya na Usalama Duniani yaliyofanyiaka kwenye uwanaj wa Shikh Amri Abeid jijini Arisha, Aprili 28,2013.
DSC01223 
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitazama vifaa vya uokoaji katika banda la maonyesho ya kuadhimisha  siku ya Afya na Usalama Duniani kwenye  uwanaja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha Aprili 28,2013. Picha na Ofisi yaWaziri Mkuu



0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!