Kituo cha afya cha Kiponzelo kilichopo
katika Halmashauri ya wilaya ya Iringa, ambapo uzinduzi wa wiki ya
chanjo ulifanyika hapo.
Makamu mwenyekiti wa Halmashauri ya
Wilaya ya Iringa Ritha Mlagala akitoa huduma ya chanjo kwa mtoto katika
Kituo cha afya cha Kiponzelo, ikiwa ni ishara ya uzinduzi wa wiki ya
chanjo nchini.
Akinamama wa kijiji cha Kiponzelo
katika Kata ya Maboga, wakiwa na watoto wao wakisubiri kupatiwa huduma
ya chanjo katika Kituo cha afya cha Kiponzelo.
Wahudumu wa kituo cha afya cha Kiponzelo wakiendelea kutoa chanjo kwa watoto walio na umri chini ya miaka mitano.
Muhudumu akimpima mtoto katika kituo cha afya cha Kiponzelo
(picha na habari na Oliver Motto).
0 comments:
Chapisha Maoni