Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania Prof. Benno Ndulu akijibu hoja kwa
ujumbe wa Benki ya Dunia huku Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. Wiliam Mgimwa
akimsikiliza kwa makini.
Makamu
wa Rais wa Benki ya Dunia kanda ya Afrika Bw. Makhtar Diop aliyekaa
katikati, akitoa ufafanuzi wa mikakati wa vipaumbele hivyo. Kutoka
kushoto ni Mwakilishi mkazi wa Benki ya Dunia Tanzania, Rwanda, Uganda
na Burundi Bw. Philippe Dongier na kulia ni Mkurugenzi wa Sekta ya
kupunguza umasikini na masuala ya Uchumi kanda ya Afrika Bw. Marcelo
Giugale.
Ujumbe
wa Tanzania pamoja na ujumbe wa Benki ya Dunia wakijadili namna ya
kuendeleza na kuboresha sekta mbalimbali zilizopewa vipaumbele kwa
Tanzania ambavyo ni pamoja na Nishati, Usafirishaji na masuala mazima ya
MKUKUTA.
Kutoka kushoto ni Meneja wa Ubinafsishaji Sekta ya Maendeleo kanda ya
Afrika Bi. Irina Astra Khan, Mkurugenzi wa Mipango na Uratibu kanda ya
Afrika Bw. Jan Walliser akijibu hoja katika majadiliano hayo. Kulia ni
Mwakilishi mkazi wa Benki ya Dunia Tanzania, Rwanda, Uganda na Burundi
Bw. Philippe Dongier akisikiliza kwa makini.
Ujumbe wa Tanzania ukiongozwa na Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. Wiliam
Mgimwa akitoa ufafanuzi wa vipaumbele kwa ujumbe wa Benki ya Dunia.
Kutoka kushoto ni Mchumi wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Dkt. Dickson
Lema, Mchumi wa BOT Bi. Haika Mbaga, Kaimu Balozi Ubalozi wa Tanzania
Washington DC Bibi Lily Munanka, Kamishna wa Fedha za Nje Wizara ya
Fedha Zanzibar Bi. Bihindi Nassor na Mchumi wa BOT Bi. Sauda Msemo
wakifuatilia majadiliano hayo.
Kutoka kushoto ni Mchumi wa Wizara ya Fedha Bw. Patrick Pima, Naibu Katibu Mtendaji Ofisi ya Rais Tume ya Mipango Prof. Longinus
Rutasitara, Afisa Mwambata anayeratibu masuala ya uchumi, biashara na
uwezeshaji ya Benki ya Dunia na Shirika la Fedha la Kimataifa Bw. Paul
Mwafongo wakiandika majadiliano hayo.
Kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Mipango na Uratibu kanda ya Afrika Bw.
Jan Walliser, Meneja wa Social Protection kanda ya Afrika Bi. Lynne
D-Sherburne – Benz na baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya Dunia
wakifuatilia majadiliano hayo.
Picha
Juu na Chini Wafanyakazi wa Benki ya Dunia wakifuatilia
majadiliano.Picha zote na Bi. Ingiahedi Mduma na Bi. Eva Valerian –
Washington DC
Imetolewa na
Ingiahedi
Msemaji wa Wizara ya fedha Tanzania.
0 comments:
Chapisha Maoni