Mkuu wa kitengo cha Masoko na Mawasiliano wa Vodacom
Tanzania,Bw.Kelvin Twissa(katikati)akiongea na Mshindi wa Droo ya mwisho ya "MAHELA "Bw.Valelian Nickodemus(22) wa Mkoa wa Kigoma aliyejishindia
shilingi Milioni 100.
kushoto ni Msimamizi wa Michezo ya kubahatisha
nchini Bw.Mrisho Milau na kulia ni Meneja wa Huduma za Ziada wa Vodacom
Tanzania,Bw. Benjamin Michael.
Mkuu wa kitengo cha Masoko na Mawasiliano wa Vodacom
Tanzania,Bw.Kelvin Twissa (katikati)akizungumza na waandishi wa habari
hawapo pichani mara baada ya kumpata mshindi wa Droo ya mwishi ya
"MAHELA "Bw.Valelian Nickodemus(22) wa Mkoa wa Kigoma aliyejishindia
shilingi Milioni 100.kushoto ni Msimamizi wa Michezo ya kubahatisha
nchini Bw.Mrisho Mlau na kulia ni Meneja wa Huduma za Ziada wa Vodacom
Tanzania,Bw. Benjamin Michael.
Kutoka kushoto,Msimamizi wa Michezo ya kubahatisha nchini Bw.Mrisho
Milau,Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania Bw.Matina Nkurlu,pamoja na
Meneja wa Huduma za ziada wa kampuni hiyo, Bw. Benjamin
Michael,wakichezesha droo ya mwisho ya "MAHELA"ambapo Bw.Valelian
Nickodemus(22) Mwanafunzi wa Chuo cha uwalimu Mkoani Kigoma alijishindia
kitita cha shilingi Milioni 100,kupitia promosheni hiyo.
0 comments:
Chapisha Maoni