Kocha mpya wa klabu ya Real Sociedad ya Hispania enzi hizo akiwa Everton akisalimiana na kocha wa zamani wa Manchester United Sir Alex Ferguson ambaye amekua mshauri wake mkubwa kuhusu soka,ambapo hapo awali alimshawishi ajiunge na Man U lakini mambo yakaharibika na sasa pia amemshawishi ajiunge na klabu hiyo ya Hispani...JE HUKO MAMBO YATAKWENDA SAWA AU YATAKUA YALE YALE!?? Kila la Kheri Moyes.
David Moyes kocha mpya wa klabu ya real sociedad aliwa katika pozi la picha na scaf ya klabu hiyo muda mfupi baada ya kutambulishwa rasmi kwa wanachama,viongozi na mashabiki wa timu hiyo.
Moyes akitambuliswa mbele ya wanahabari
Hapa anatinga uwanja wa mazoezi wa timu yake hiyo mpya.
0 comments:
Chapisha Maoni