Timu ya taifa ya Brazili imeendelea kung'aa katika anga za soka baada ya kuendeleza mauaji ambapo jana iliifumua timu ya taifa ya uturuki mabao 4-0 huku mchezaji wao tegemeo Neymar akifanikiwa kuzifumania nyavu mara mbili.
Neymar kazini.
Neymar akishangilia moja ya magoli yake jana dhidi ya Uturuki.
Wachezaji wa Brazili wakipongezana baada ya Neymar kutupia goli la pili nyavuni.
Beki wa Brazili Danilo akipongezwa na mwenzake baada ya kuingiza kross iliyopelekea waturuki kujifunga wenyewe.
Mmoja wa viungo bora wa Brazil kwa sasa Willian akishangilia baada ya kufunga goli safi dhidi ya Uturuki na kuiwezesha timu yake kuibuka na ushindi wa magoli 4-0
....Wee baki mpira upite,au mpira ubaki wewe upitee!!
0 comments:
Chapisha Maoni