Mchezaji ghali kuliko wote duniani kwa sasa Gareth Bale wa Real Madrid yupo mbioni kutua kunako klabu ya Chelsea kwa kitita cha paundi milioni 90 zikiwa ni paundi milioni tano zaidi ya kile kitita kilichovunja rekodi ya dunia cha paundi milioni 85 walizolipa Madrid kwa Tottenham mwaka mmoja uliopita.
Ijumaa, 14 Novemba 2014
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
0 comments:
Chapisha Maoni