Searching...
Alhamisi, 3 Julai 2014

NIPO TAYARI KUVUNJA MKATABA KWA HELA YANGU NIENDE CHELSEA.

FILLIPE LUIS.

Beki kisiki wa Atletico Madrid Filipe Luis amesema yupo tayari kuvunja mkataba kwa gharama zake yeye mwenyewe ili aweze kutua Stamford Bridge kujiunga na Jose Mourinho msimu ujao.
 JOSE MOURINHO.
Hizi ni taarifa njema sana kwa Chelsea baada ya kuhaha kwa muda mrefu kutafuta beki wa kushoto kuziba pengo la Ashley Cole ambaye ameruhusiwa kutafuta timu ya kucheza msimu ujao.Chelsea itawagharimu paund milioni 19 kumng'oa

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!