Home
»
Unlabelled
» HIVI NDIVYO KIM NA KANYE WANAVYOKULA BATA LONDON.
Mapaparazi wamemnasa nyota wa muziki duniani Kim Kardashian akila bata na mume waki Kanye West huko Hamptons siku ya alhamisi huku akiwa amevalia nguo ya kubana ambayo ilikua ikionyesha umbo lake sawa sawa.
Kim akiingia kwenye gari lake la kifahari la Escalade punde tu baada ya kupata chakula cha mchana na familia yake na mumewe huko Hamptons.
Kim Kadarshian akiwa chini ya uangalizi wa ulinzi imara wa walinzi wake kama ambavyo mmoja wao anaonekana.
Kim ndani ya skin-tight
Nyota wa muziki duniani Kanye West ambaye ndiye baba watoto wa Kim akikatisha mitaa huku akiongea na simu na kuachilia tabasamu kubwa kuashiria mapenzi ya wawili hao pale walipokuwa pamoja kupata lunc huko Hamptons Londo.
0 comments:
Chapisha Maoni