Searching...
Ijumaa, 4 Julai 2014

JUVE YATANGAZA VITA NA MANCHESTER UNITED,KUMNG'OA BEKI OT

Vita vya usajili kila kukicha vinazidi kushika kasi ambapo sasa klabu kongwe ya Italia ya Juventus imetangaza vita na Manchester United Mfaransa Patrice Evra 

PATRICE EVRA.
Lakini Klabu ya Man U wamesema mchezaji huyo hauzwi kwani amesaini mkataba mpya wa mwaka mmoja ila watafiti wa masuala ya soka wanasema Huenda Evra akaondoka Man U baada ya klabu hiyo kumsajili beki kisiki wa Southampton kwa kitita cha paundi milioni 30ambaye anaonekana kuwa chaguo la kwanza la kocha mpya wa Man U Louis Van Gaal kitendo ambacho Evra hakitaki kwani anataka kucheza mara kwa mara ukizingatia umri wake unataradadi baada ya kutimiza miaka 33

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!