
Pamoja na timu ya taifa ya Marekani kutolewa kwenye michuano ya kombe la dunia huko nchini Brazili,Rais wa Marekani Barack Obama amewapongeza wacezaji wa timu hiyo kwa umahiri wao waliouonyesha kulipigania taifa,hapa Rais Obama alikua akiongea na mlinda mlango wa Marekani Tim Howard na baadaye alizungumza na Clint Dempsey kuwapa heshima ya kipekee.

Barack Obama alipokua akiishuhudia timu yake iking'olewa kwenye michuano ya dunia na Ubelgiji

Tim Howard aliokoa michomo hatari 16katika mechi kati ya Marekani na Ubelgiji.
Hongereni sana vijana wangu....mmetolewa kiume.
0 comments:
Chapisha Maoni