FEDERER ABWAGWA NA CHIPUKIZI TENESI MASHINDANO YA WIMBLEDON
Home
»
Unlabelled
» FEDERER ABWAGWA NA CHIPUKIZI TENESI MASHINDANO YA WIMBLEDON
Mashindano ya Wimbledon yamefikia pale wengi walipokua wakipasubiri baada ya fainali iliyoshuhudiwa na mastaa kibao duniani wakiwemo familia ya Malkia Elizabeth na David Bekham pale Novak Djokovic alipomfunga mkongwe wa mchezo huo Roger Federer kwa seti tano na kutwaa ubingwa.
Djokovic akinyanyua mikono yake juu ishara ya kumaliza kazi ya kumng'oa mkongwe Federer
Federer akimpongeza Djokovic baada ya kukubali kipigo.
Haikua kazi rahisi kabisa kwa Novak Djokovic kumbwaga Federer
0 comments:
Chapisha Maoni