Searching...
Jumamosi, 5 Julai 2014

ARSENAL VITANI NA TOTTENHAM KUWANIA BEKI MUHOLANZI

JOEL VELTMAN.
Arsenal na Tottenham Hotspur wapo katika vita kali ya kuwania saini ya beki wa kati wa timu ya taifa ya Uholanzi na klabu ya Ajax Joel Veltman kufuatia chipukizi huyo mwenye umri wa miaka 22 kufanya vizuri katika mashindano ya kombe la dunia hiko nchini Brazili chini ya kocha wake Louis Van Gaal.
ARSENE WENGER.
Kocha wa Arsenal Arsene Wenger anahaha kuisaka saini ya beki huyo ili kuziba pengo la beki wake Thomas Vermaelen anayetimkia kunako Man U.

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!