Unknown 11:46 0 comments TIGER WOOD AREJEA UWANJANI TENA. Home » Unlabelled » TIGER WOOD AREJEA UWANJANI TENA. MCHEZaji bora wa dunia mara nne wa mchezo wa Golf akiwa katika mazoezi makali kwaajili ya michuano ya The Open at Hoylake mwezi wa tisa. Mamia ya washabiki waWoods wakishuhudia mchezaji huyo mkongwe wa golf akifanya mazoezi tayari kwa michuano ya dunia hapo mwezi wa tisa mwaka huu. Woods amesisitiza kwamba atashiriki katika michuano ya Open lakini analazimika kujifua kila siku ili kurejea kwenye kiwango chake cha ushindani. Tiger Woods akijifua na waalimu wake tayari kwa michuano mwezi wa tisa mwaka huu. Share This To : Facebook Twitter Google+ StumbleUpon Digg Delicious LinkedIn Reddit Technorati
0 comments:
Chapisha Maoni