Mchezaji nguli na kipenzi kikubwa cha wabrazili na Barcelona Neymar ametoboa siri nzito kwamba mwaka 2010 Chelsea walitumia nguvu kubwa katika jitihada za kumnasa lakini akiwa karibia kusaini mkataba na Chelsea lakini Abeid Pele alimpigia simu na kumuonya kutokujiunga na Chelsea.
Neymer akiwa amepumzika baada ya mazoezi akijiandaa na mechi ya hatua ya 16 bora dhili ya Chile leo jumamosi usiku mechi inayotabiriwa kuwa kali na ya kusisimua kutokana na ubora waliouonyesha pande zote mbili katika mechi za hatua ya awali ya mtoano katika michuano ya kombe la dunia linaloendelea huko nchini Brazil.
Hadi sasa Neymar tayari ameifungia timu yake ya taifa magoli manne katika michuano hiyo inayoendelea huko nchini Brazili.
Mfalme wa soka duniani Pele enzi zake akishangilia moja ya goli aliloifungia nchi yake katika fainali za kombe la dunia, na huyu ndiye aliyemzuia Neymer kujiunga na Chelsea.
0 comments:
Chapisha Maoni