Searching...
Jumamosi, 21 Juni 2014

SOMA HISTORIA YA NIGERIA Vs BOSNIA AND HERZEGOVINA KABLA YA MECHI YAO YA LEO USIKU.

 
katika historia ya soka timu hizi za Nigeria na Bosnia na Herzegovina hazijawahi kukutana hata mara moja,hivyo leo ndio mara yao ya kwanza kukutana katika mechi itakayochezwa katika uwanja wa Arena Pantanal uliopo katika mji wa Cuiaba,uliojengwa mwaka huu wa 2014 ambao una uwezo wa kuchukua watazamaji 41112

PETER O LEARY
Mechi hiyo itachezeshwa na mwamuzi Peter O Leary kutoka nchini New Zealand akisaidiana na Jan Hendrik Hintz na Mark Rule ambapo mwamuzi wa mezani atakua ni Roberto Moreno kutoka nchini Parnama.

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!