Searching...
Jumamosi, 21 Juni 2014

NGUZA VIKING NA MWANAE PAPII KOCHA WATUMBUIZA KWENYE MAADHIMISHO YA MAGEREZA DAY

 
Msanii Nguza Viking (kulia) na Mwanae Jonson Nguza Maarufu kwa jina la Papii Kocha ambao wanatumikia Kifungo chao kwenye Gereza la Ukonga jijini Dar,wakiwa na Bendi ya Wafungwa wakiimba Wimbo Maalum kuhusu Urekebishaji wa Wafungwa unavyofanyika Magerezani,Wanamuziki hao walitumbuiza katika Maadhimisho ya Magereza Day yaliyofanyika Juni 20, 2014 katika Viwanja vya Chuo cha Maafisa Magereza Ukonga.

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!