![]() |
| Umati wa mashabiki wa Yanga waliojitokeza makao makuu ya timu yao Jangwani kumpokea kocha wao mpya Maximo kutoka nchini Brazil.. |
![]() |
| Maximo akiwapungia mashabiki wa Yanga |
![]() |
| Karibu...karibu...karibu...mashabiki wa Yanga wakimkaribisha kocha wao mpya. |
| ilikua ni furaha na nderemo kwa mashabiki wa Yanga. |
| Maximo akiongea na waandishi wa habari. |
| Nimekuja tena kufanya kazi Tanzania. |
| waandishi wakiuliza maswali |
| maswali na majibu kwa waandishi wa habari. |
| Maximo akisindikizwa na polisi kutoka uwanja wa ndege |



0 comments:
Chapisha Maoni