Searching...
Jumamosi, 28 Juni 2014

KAMA HAUMJUI HUYU NDIYE MCHUMBA WA NEYMAR

No worries: Neymar's girlfriend Bruna Marquezine laughs during Brazil's last-16 match against Chile
Special seat: Marquezine with her ticket Kama haumjui basi kupitia Mchome Blog namleta kwako mchumba wa msukuma ndinga na kipenzi cha Wabrazili Neymar mrembo Bruna Marquezine hapa akiwa uwanjani kumpa sapoti mzee katika mechi kati ya Chile na Brazili.

No 1 fan: Marquezine soaks in the sunshine at Estadio Mineirao Stadium Bibie kipenda roho cha Neymar Marquezine sakiwa na tabasamu ndani ya uwanja wa Estadio Mineirao Stadium kushuhudia mechi ya Brazili Vs Chile ambapo Brazili wameshinda kwa penalti 3-2 na kutinga hatua ya robo fainali.
Relaxed: With Neymar embroiled in total intensity on the pitch, Marquezine was a picture of calm ...Msiniumizieeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Neymar wangu-Marquezine

1 comments:

 
Back to top!