Mshambuliaji nguli wa timu ya taifa ya Colombia na klabu ya Monaco Radamel Falcao baada ya kuwa majeruhi na kushindwa kujiunga na wenzake katika mashindano ya kombe la dunia huko nchini Brazili ameamua kujichimbia kwenye fukwe za Miami kula raha na mke wake na binti yake mdogo huku akiendelea kufuatilia fainali za kombe la dunia kupitia kwenye luninga.
Radamel Falcao akiwa amepozi na mke wake huku binti yao mdogo akiwa amelala
Falcao akifanya mzaha na mmoja wa watalii katika fukwe ya Miami nchini Marekani.
Furaha ya kula bata ni kujumuika na wenzako
Radamel Falcao na mkewe Lorelei Taron pamoja na binti yao Dominique wakiondoka maeneo ya fukwe kuelekea hotelini kuangalia michuano ya kombe la dunia.
0 comments:
Chapisha Maoni