Siku moja tu baada ya Khloe Kardashian kuadhimisha siku yake ya kuzaliwa ikiwa ametimiza miaka 30 ambapo mchumba wake alimuahidi zawadi gari aina ya Jeep Wrangler yenye thamani ya zaidi ya paundi milioni 50 ,leo hii kidume kimetimiza ahadi yake kwa mchumba wake.
Khloé Kardashian ambaye ni mdogo wake na mwanamuziki nguli Kim Kardashian akilikaribia gari lake alilopewa zawadi na mchumba wake French Montana ikiwa ni zawadi yake ya siku ya kuzaliwa ambapo ametimiza miaka 30.l
Kidume French Montana akielekea kumkabidhi mchumba wake zawadi yake ya gari aina ya Jeep Wrangler.
Birthday girl akitoka hotelini badaada ya uchomvu wa siku mbili kusherehekea siku yake ya kuzaliwa.
Mashabiki wakipiga picha na Kardashian
...........Nipisheni jamani nikaingie kwenye gari languuuuuuu.............
Ahadi ni deni,French anatimiza ahadi yake kwa mpenzi wake ya kumnunulia gari jipya aina ya Jeep na leo yanatimia.

Baada ya kumaliza sherehe za hafla ya siku ya Khole kuzaliwa marafiki zake hawakuruhusiwa kuingia kwenye gari lake jipya la zawadi,badala yake walikodishiwa Helcopta kama inavyoonekana angani, hawa ni marafiki wa Birthday Girl ambao ni Jenner clan - Kris Jenner, Kourtney Kardashian, Mason,
Penelope Disick, Kendall na Kylie Jenne.
Toa maoni yako hapo chini na pia share kwa marafiki zako.
0 comments:
Chapisha Maoni