Baada ya timu ya taifa ya soka ya Uingereza kuondeshwa mapema kwenye kinyang'anyiro cha kuwania taji la dunia huko nchini Brazili,mastaa mbali mbali wa Uingereza sasa wamehamia kwenye mchezo wa Tennis hoko Wimbledon kama njia pekee ya kujiliwaza na machungu ya kuondoshwa mapema kunako kombe la dunia nchini Brazili.
Mmoja wa mastaa waliohamia kuangalia mchezo wa Tennis badala ya Soka ni mkongwe wa soka na kipenzi cha Waingereza,Manchester United,Real Madrid na wapenda soka kote duniani David Beckham ambaye ameonekana katika michuano ya Tennis Wimbledon huku akiwa na mama yake mzazi.
David
Beckham akiwa na mama yake mzazi Sandra eneo la VIP huko Wimbledon, wakipokelewa kwa makofi kabla ya kukaa katikati ya eneo la watu maarufu wakishuhudia mechi kali kati ya Mikhail
Kuskushkin akichuana vilivyo na mkongwe Rafael Nadal jana jumamosi.
David Beckham akiwa amekaa mbele ya mkongwe wa Manchester United
Sir Bobby Charlton akiwa na mama yake kushoto wakishuhudia mechi kati ya Mikhail Kuskushkin
Vs Rafael Nadal katiak uwanja wa Wimbledon jana jumamosi.
David Beckham akiwapungia mkono mashabiki wake kabla hajakaa kwenye kiti chake kushuhudia mechi kati ya Mikhail Kuskushkin
Vs Rafael Nadal katiak uwanja wa Wimbledon jana jumamosi.
Mchezaji wa zamani wa timu ya taifa ya Uingereza David Beckham akiwa na Sir Bobby wakipokelewa uwanjani na makelele ya furaha baada ya kuingia uwanjani kushuhudia mechi kati ya Mikhail Kuskushkin
Vs Rafael Nadal katiak uwanja wa Wimbledon jana jumamosi.

Afande naye alijisahau kuendelea na kutekeleza majukumu yake uwanjani na kujikuta akisalimiana na Beckham na kuendelea na story.
Mashabiki waliokaa karibu na Beckham walibahatika kupiga naye picha za kumbukumbu huku wakiwa hawaamini kuonana na Beck.
David akionyesha lama ya Upendo (salute) huku pete yake ya ndoa ikiwa inaonekana wazi,Beckham amemuoa Victoria.
David Beckham alikua muda wote anawapungia mikono mashabiki wake ambao wakati wote mchezo ulivyokua ukiendelea walikua wakiimba jina la Beckham.

David na Sir Bobby wakiwapungia mashabiki wa Manchester United ambao walikua wakiimba wimbo wa Man U.

David Beckham akionekana mwenye furaha na kusahau machungu ya timu yake ya taifa kuondoshwa mapema kunako kombe la dunia huko nchini Brazili.
..............Mazungumzo baada ya mapumziko.....

....David Beckham akipozi na chupa yake ya maji mkononi....
0 comments:
Chapisha Maoni