MAFIKIZORO WAFUNIKA MLIMANI CITY JIJINI DAR USIKU HUU
Home
»
Unlabelled
» MAFIKIZORO WAFUNIKA MLIMANI CITY JIJINI DAR USIKU HUU
Wakali
wa kundi la mafikizoro usiku huu wanaendelea na kukamua ndani ya Ukumbi
wa Mlimani City jijini Dar, Nyomi ya watu imefurika ukumbini
kuwashuhudia wakali hawa wa mafikizoro.
...Wakali wa kundi la mafikizoro usiku huu wanaendelea na kukamua.
...Nyomi ya watu imefurika ukumbini usiku huu.
Mashabiki wa Mafikizoro wakicheza moja ya wimbo ndani ya Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar, Usiku huu.
0 comments:
Chapisha Maoni
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.