MANCHESTER CITY YATWAA TAJI LA KWANZA MSIMU HUU USIKU HUU
Home
»
Unlabelled
» MANCHESTER CITY YATWAA TAJI LA KWANZA MSIMU HUU USIKU HUU
Wachezaji wa Manchester City wakishangilia kwa furaha baada ya kuwafurumusha bila huruma Sunderland kwa magoli 3-1 katika fainali ya kombe la Capital One.
Mchezaji wa Manchester City Samir Nasir akiifungia timu yake bao la pili katika mechi ngumu,kali na ya kuvutia ya fainali ya kombe la Capital One.Mchezaji wa Manchester City Samir Nasri, akishangilia na mchezaji mwenzake Edin Dzeko baada ya kufunga goli la pili katika ushindi wa magoli 3-1 katika mechi ya fainali ya kombe la Capital OneMchezaji wa Manchester City Yaya Toure akiifungia timu yake goli la kuuongoza katika mechi ya fainali ya kombe la Capital One dhidi ya Sunderland ambapo Man City Waliibuka na ushindi wa mabao 3-1 na kutawazwa kuwa machampioni wa kombe hilo msimu huu.Kocha wa Manchester City Manuel Pellegrini akilinyanyua kombe la Capital One baada ya kuwacharaza Sunderland mabao 3-1 katika fainali ya kombe hilo.
0 comments:
Chapisha Maoni