Mwili wa mmoja wa abiria waliokuwemo katika lori hilo la mafuta ukiwa umeungua na kubaki kama unavyouona
Wanainchi wakiangalia Lori baada ya kuungua na kusababisha vifo vya watu 4
Mabaki ya Lori hilo bada ya kuteketea kabisa na moto jioni hii
Baadhi ya wasafiri wakitazama lori lililongua jioni hii
wananchi wakiwa hawaamini macho yao.
Bonde la mlima sekenke linavyoonekana na baadhi ya miti imeunguaa
Hii ni njia ya mlima sekenke
Moto ukimalizikia kwa mbaliii kama inavyoonekana
Lori
la mafuta limeanguka jioni hii katika eneo la milima ya sekenke mkoani
singida na kuua watu wanne hapohapo.Chanzo cha ajali hiyo ni breki
kufeli
kukamata wakati lori hilo lilipokuwa linashuka mlima huo.Shuhuda wa
ajali hiyo bwana Julius chacha alipoongea na mtandao wetu amesema kwamba
Lori hilo lilipoacha njia lilipinduka na kuingia bondeni
na kushika moto.Akiendelea kuongea shuhuda huyo alisema walishindwa
kutoa msaada wowote kwa kwa moto uliposhika ulikuwa mkubwa na hawakuwa
na vifaa vya kuokolea.Watu wanne wamekuufa papo hapo kutokana na ajali
hiyo.Polisi walikuwa bado hawajafika eneo la tukio mpaka tunaondoka
eneo la tukio.








0 comments:
Chapisha Maoni