Searching...
Jumatatu, 17 Februari 2014

POLISI MKOANI IRINGA WAZUIA MSAFARA WA MGOMBEA UBUNGE KALENGA.

Polisi mkoani Iringa wakiwa  wameuzua msafara  wa mgombea  ubunge jimbo la Kalenga,  Bi Grace Tendega kupitia Chadema kwa madai  hawakuwa na kibali cha kufanya  maandamano  hayo ya magari  hapa  ni eneo la lango la mji Samora ambapo msafara huo  ulikuwa ukitokea maeneo la Ndiuka kuelekea kwa msimamizi wa uchaguzi  ili kuchukua fomu.
Mgombea  ubunge wa  Chadema Kalenga, Grace Tendega baada ya  kuruhusiwa  gari lake kupita
Hapa  polisi  wakimtazama  mgombea  huyo akipita  mbele yao
 Habari kamili  itakujia  hivi  punde  hapa  endelea kutembelea mtandao  huu.

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!