![]() |
Maaskofu waalikwa toka makanisa mbalimbali kanda ya ziwa na Tanzania kwa ujumla wakishiriki ibada hiyo.
|
![]() |
Askofu
mkuu wa Dayosisi ya Mwanza Ziwa Victoria (DMZV) Andrew Gulle kabla ya
kufunua jiwe maalum la Jubilee alikata utepe kuashiria safari ya
maadhimisho hayo kuanza rasmi, ambapo kilele chake kitakuwa tarehe 31
Agosti, 2014.
|
![]() |
Baada
ya tukio la kuzindua jiwe la Jubilee Maaskofu na mamia ya waumini
walielekea kwenye jengo la Kanisa kuu la Mwanza kwaajili ya kulizindua.
|
![]() |
Kabla
ya Uzinduzi wa kanisa la Imani KKKT Mwanza historia ya ujenzi wa kanisa
hadi kukamilika ilisomwa naye Bw. Serafin Kimaro. Jumla ya shilingi
bilioni moja na milioni 500 zimetumika kukamilisha ujenzi huo uliotumia
miaka takribani 13 hadi kukamilika.
|
![]() |





0 comments:
Chapisha Maoni