Searching...
Jumanne, 25 Februari 2014

MBUNGE WA LUDEWA FILIKUNJOMBE AKIONA CHA MOTO BARABARANI

Wananchi na  msafara  wa  mbunge  wa  jimbo la Ludewa  Deo Filikunjombe wakifungua barabara ya  Rupingu -Ludewa  iliyofunikwa na kifusi baada ya mvua kubwa  kunyesha kwa zaidi ya wiki moja mfululizo sasa barabara  hiyo  ipo katika matengenezo makubwa na TANROADS mkoa wa Njombe kwa kutegewa kiasi cha Tsh milioni 400
Gari la Mbunge wa Ludewa Deo Filikunjombe  likipita kwa shida katika barabara ya Rupingu -Ludewa jana
Mbunge wa  Ludewa Deo Filikunjombe akkitazama sehemu ya barabara ya Rupingu - Ludewa  inayoporomoka kutokana na mvua  kubwa  zinazoendelea  kunyesha
Mbunge wa Ludewa  Deo Filikunjombe akionyesha madhara ya  Mvua yaliyopelekea barabara ya Rupingu -Ludewa  kuharibika

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!