Mchezaji wa Manchester City Steven Jovetic akiifungia timu yake bao la kuuongoza dhidi ya Chelsea huku golikipa wa Chelsea Peter Cech akishuhudia kwa uchungu,ambapo hadi mwisho wa mchezo Manchester City waliibuka na ushindi wa mabao 2-1,katika mchezo wa kombe la FA uliochezwa katika uwanja wa Ethad.
Kocha wa Chelsea Jose Mourinho akijitahidi kuwahisha mpira ili kukimbia na muda huku kocha mwenzake wa City Manuel Pellegrini akimchungulia kwa pembeni.
Mlinzi wa kisiki wa Chelsea David Luiz na kiungo mkabaji Nemanja Matic wakipambana kuokoa mchongo uliokuwa unaelekezwa golini kwao.
0 comments:
Chapisha Maoni