Searching...
Jumamosi, 4 Januari 2014

TETESI ZA UHAMISHO ENGLAND,ROONEY AITIKISA MAN U,PSG KUIBOMOA CHELSEA

Walking out? Wayne Rooney, yet to commit to a new deal at Man United, leaves hospital with his scan results 
WAYNE ROONEY
Akiwa amesaliwa na msimu mmoja tu katika mkataba wake wa kukipiga na miamba ya soka ya England mchezaji wa kimataifa Wayne Rooney ameweka wazi kwamba hataki kuzungumzia lolote kuhusu hatma yake baada ya mkataba wake kuisha hadi kumalizika kwa fainali za kombe la dunia kule nchini Brazil.
Japo taarifa za uhakika zinasema Rooney ameapa kutokusaini mkataba mpya Man U kama timu hiyo haitofaulu kucheza klabu bingwa ulaya msimu ujao.
 Chelsea, CFC, Chelsea news, Chelsea transfer news, Chelsea team news, Chelsea transfers, Blues, The Shed, Eden Hazard, Hazard, Juan Mata, Fernando Torres, Torres,  
EDEN HAZARD
Klabu ya PSG ya ufaransa inayoongoza kwa matumizi makubwa ya kununua wachezaji,hatimaye sasa imewageukia matajiri wenzao Chelsea kwa kuweka wazi kwamba wapo tayari kutoa kitita chochote cha fedha ili kuinasa saini ya mbeligiji anayetisha kwa sasa Eden Hazard.
Liverpool ramp up effort to sign Salah 

MOHAMED SALAH
Liverpool wapo katika hatua za mwisho kuinasa saini ya msukuma ndinga wa klabu ya Basel mmisri Mohamed Salah,ambapo wamemtengea kitita cha paundi milioni 9,ikiwa ni kujihami baada ya tetesi kuzaa kwamba vilabu vingi barani ulaya vinammendea kiungo huyo wa kimataifa wa Misri.
 Highly rated: Arsenal are keen on exploring the possibility of signing Mario Mandzukic (left) in the future 
MARIO MANDZUKIC
Arsenal wameingia vitani kuisaka saini ya msukuma ndinga wa Bayern Munich Mario Mandzuck,japo taarifa kamili zinasema uhamisho wa mshambuliaji huyo wa kimataifa wa Coreshia hautakamilika katika dirisha dogo la januari hii pengine kwa usajili mkubwa mwishoni mwa msimu.
Juan Mata 
JUAN MATTA
Siku moja tu baada ya kocha wa Chelsea mreno mbwatukaji Jose Mourinho kusema kwamba milango ipo wazi kwa kiungo huyo mshambuliaji wa kimataifa wa Hispania Juan Matta milango ipo wazi na hana mpango wa kumtumia katika mikakati yake ndani ya klabu hiyo,hatimaye leo amebadilika na ksema anajisikia vibaya sana jinsi anavyomtumia mchezaji huyo na kudai kwaamba hana mpango tena wa kumuuza nyota huyo.

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!