Mwili
wa aliyekuwa Waziri wa Fedha, Dk.William Mgimwa umewasili nchini hii leo
kwa ndege ya shirika la ndege la Kenya (KQ) na kupokelewa na viongozi mbalimbali
wa chama na Serikali wakiongozwa na Katibu Mkuu Kiongozi Ombeni Sefue
opamoja na Mawaziri mbalimbali na Wabunge.
Jumamosi, 4 Januari 2014
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
0 comments:
Chapisha Maoni