Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiteta jambo na Mkuu wa Shirika la Maendeleo ya Kimataifa ya
Marekani (USAID) Mhe Rajiv Shah katika ukumbi wa mikutano wa Davos, Uswisi,
January 23, 2014
Rais Jakaya Mrisho Kiwete akisalimiana Mwenyekiti na
Mtendaji Mkuu wa kampuni ya JETRO ya Japan katika hoteli ta Sheraton
Davos, Uswisi, January 23, 2014
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Naibu Waziri Mkuu wa
Uingereza Mhe. Niuck Clegg walipoikutana
na kufanya mazungumzo katika hoteli ya Sheraton
Davos, Uswisi Janaury 23, 2014
Rais Jakaya Mrisho Kikwete kutana
na kufanya mazungumzo na Mwenyekiti na
Mtendaji Mkuu wa kampuni ya JETRO ya Japan katika hoteli ta Sheraton
Davos, Uswisi, January 23, 2014
Rais Jakaya Mrisho Kikwete
akutana na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Shirika la Maendeleo ya Kimataifa ya
Marekani (USAID) Mhe Rajiv Shah katika ukumbi wa mikutano wa Davos, Uswisi,
January 23, 2014
Rais
Jakaya Kikwete akichangia hoja wakati wa mkutano wa kujadili namna ya
kuongeza kasi ya uboreshaji wa kupatikana na kulinda maji
nsalama kwa miaka ijayo katika hoteli ya
Derby huku Davos Uswisi
Januari 23, 2014.
Rais Jakaya Kikwete akihutubia wakati
wa mkutano wa kujadili namna ya kuongeza kasi
ya uboreshaji wa kilimo uliofanyika
Davos Uswisi usiku wa kuamkia leo Januari 23, 2014
Rais Jakaya Kikwete akishangiliwa
baada ya kuhutubia wakati wa mkutano wa kujadili namna ya kuongeza kasi ya uboreshaji wa kupatikana na kulinda maji salama kwa miaka ijayo katika hoteli ya
Derby huko Davos Nchini Uswisi
Januari 23, 2014.
Picha na IKULU
0 comments:
Chapisha Maoni