RAIS KIKWETE NA DR.SHEIN WATANGAZA RASMI KESHO NI SIKU YA MAPUMZIKO.
Home
»
Unlabelled
» RAIS KIKWETE NA DR.SHEIN WATANGAZA RASMI KESHO NI SIKU YA MAPUMZIKO.
Rais wa serikali ya mapinduzi ya Zanzibar Dr.Ally Mohamed Shein ametangaza rasmi kwamba kesho tarehe 13.01.2014 itakua ni siku ya mapumziko kufuatia kazi kubwa iliyofanyika katika maandalizi na sherehe za miaka 50 ya mapinduzi matukufu ya zanzibar.
0 comments:
Chapisha Maoni