
CHRISTIAN RONALDO-MCHEZAJI BORA WA DUNIA 2013-2014
ZLATAN IBRAHIMOVIC ATWAA TUZO YA GOLI BORA LA MWAKA.
EDSON ARANTES DO NASCIMENTO PELE AKIPOKEA TUZO YA HESHIMA YA FIFA KUTOKA WA ZINEDINE ZIDANE.
KOCHA WA ZAMANI WA UJERUMANI JUPP HEYNCKES NDIYE ALIYEIBUKA KUWA KOCHA BORA WA MWAKA.

WACHEZAJI WA BARCELONA WALIOKUWA WAMEMSINDIKIZA MESSI KUCHUKUA TUZO KABLA YA KUKWAA KISIKI KWA RONALDO.

MESSI NA MKEWE WAKIWA NA MATUMAINI MAKUBWA YA KUONDOKA NA TUZO KABLA YA KUISHIA KUNAWA KWA RONALDO.
0 comments:
Chapisha Maoni
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.